Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku zijazo zitakuwa "mtihani halisi" katika kupona kwake mambukizi ya virusi vya corona, katika ujumbe wa vidio alioweka katika ukurasa wa Twitter siku ya Jumamosi,(03.10.2020).
Taarifa ya habari 4 Oktoba 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili
Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg amesema changamoto kubwa inayo kabili uchumi, inahitaji msaada mkubwa, kupiga jeki shughuli pamoja nakukuza ajira.
Share