Taarifa ya habari 6 Oktoba 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Waziri Mkuu aeleza bunge kuwa bajeti ya taifa itakayo tangazwa leo usiku, niyakuwapa wa Australia matumaini kwa siku za usoni.


Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka kwenye hospitali ya kijeshi ya Walter Reed alikokuwa amelazwa kwa siku tatu akitibiwa ugonjwa wa COVID-19.

Jumuia ya Afrika Mashariki Jumapili ilimuidhinisha waziri wa Spoti na utamaduni wa Kenya, Amina Mohamed, kama mgombea wao katika uongozi wa Shirika la Biashara Duniani (WTO). Hatua hiyo inaongeza uwezekano wa kupata mwanamke wa kwanza katika historia kuliongoza shirika hilo.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi yupo mjini Goma, katika eneo ambalo limeendelea kushuhudia utovu wa usalama katika kipindi kirefu kutokana na kuwepo kwa makundi ya waasi, yanayoendelea kushtumiwa kutekeleza mauaji ya raia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya habari 6 Oktoba 2020 | SBS Swahili