Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya habari 7 Julai 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS

Bango la taarifa ya habari la SBS Source: SBS

Maelfu waondoka Victoria kabla yampaka wa New South Wales kufungwa.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Maelfu waondoka Victoria kabla yampaka wa New South Wales kufungwa.


Serikali ya Misri yawakamata madaktari wanaokosoa hali ya maambukizi ya COVID-19 nchini humo, na wafanyakazi wengine wa afya wanasema wameonywa na viongozi wao kukaa kimya au kuadhibiwa.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Jumatatu alitangaza kuanza tena shughuli za kawaida nchini, wakati serikali ikichukua hatua ya kulegeza masharti ya COVID-19.

Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ya nchi wa Tanzania, na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bernard Membe, amerejesha kadi ya uanachama wa Chama hicho.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now