Taarifa ya Habari 7 Septemba 21

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Vifo kutokana na Uviko-19 Jimbo la NSW vyaongezeka huku Serikali ikianza harakati za kuweka mpango wa nchi kufunguliwa


Nchini Australia, wanawake Wahamiaji na Wakimbizi wavunja ukimya, 

Wakati katika Habari za Kimataifa, Jamaa ya waliopoteza maisha kwa ndege iliyodunguliwa MH17 waishtumu Urusi kuhusika.

Na huko Sudan Kusini, sasa wanaume mil 1.5 kutahiriwa. 

Wakati katika Michezo tunaarifiwa kuwa, mchezaji afariki baada ya kuwa kwenye koma kwa miaka 39. 

Zaidi gonga kiunganisho hapo juu kusikiliza taarifa nzima. 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service