Taarifa ya Habari 9 Januari 22

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Idadi ya waliolazwa mahospitalini kwa COVID-19 yaongezeka huku Victoria wakirekodi kesi mpya zaidi ya 44,155, wakati NSW ina kesi 30,062


Australia yahimizwa kuchukua hatua juu ya matatizo ya afya akili huku ikitabiliwa shida hiyo kuongezeka mara tatu ulimwenguni ifikapo 2050

Na nchini Tanzania, Rais Samia afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Na taarifa kutoka Ethiopia zinasema, makumi wauawa katika shambulio la anga katika kambi, huko Tigray. 

 MICHEZO

Novak Djokovic alikuwa na COVID-19 kabla ya kuwasili Australia, karatasi za korti zinaonyesha


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya Habari 9 Januari 22 | SBS Swahili