Taarifa ya habari 9 Juni 2020

Bango la taarifa za habari za dunia la SBS

Bango la taarifa za habari za dunia la SBS Source: SBS

Kuondolewa kwa sekta moja ya wafanyakazi kupokea ruzuku ya mshahara wa Jobkeeper, kwa ibua mvutano kati ya serikali na upinzani


Serikali ya NSW imeziundua kampeni mpya ya umma ya uelewa wa ubaguzi wa rangi, kwa ajili yakuwasaidia waathiriwa wa visa vya ubaguzi wa rangi kuelewa haki zao.

George Floyd, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi, atazikwa leo mjini Houston, Texas ambako alikulia.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini dodoma.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya habari 9 Juni 2020 | SBS Swahili