Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari:Australia yatoa heshima zake kwa hayati Richard Scolyer

Professor Richard Scolyer at the 2024 Australian of the Year Awards in Canberra

New South Wales Australians Of The Year Professor Richard Scolyer during the 2024 Australian of the Year Awards at the National Arboretum in Canberra, Thursday, January 25, 2024. (AAP Image/Mick Tsikas) NO ARCHIVING Credit: MICK TSIKAS/AAPIMAGE

Wanafamilia na Waziri Mkuu Anthony Albanese wamemkumbuka Richard Scolyer, mshindi wa zamani wa tuzo yamu Australia bora wa mwaka.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Wanafamilia na Waziri Mkuu Anthony Albanese wamemkumbuka Richard Scolyer, mshindi wa zamani wa tuzo yamu Australia bora wa mwaka.


Mtafiti huyo wa saratani amefariki akiwa na umri wa miaka 59, baada ya kupambana na saratani kali ya ubongo kwa miaka mitatu.

Jeshi la Nigeria limesema leo kuwa limewaokoa watu 360 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram katika eneo la kusini mwa jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, operesheni hiyo ilifanyika katika Milima ya Mandara, ambayo ni sehemu ya ngome ya kundi hilo la wanamgambo.

Mshambulizi wa Socceroos Tete Yengi, anasema timu hiyo haina wasiwasi kuhusu mwanzo wao wa polepole kwenye michezo. Kampeni ya Kombe la Dunia ya Socceroos itaanza Jumapili alasiri [[1400 aest]] dhidi ya Turkiye mjini Vancouver.

Unaweza tazama kila mechi ya Kombe la Dunia la 2026, moja kwa moja na kipekee kwenye SBS.

Bofy hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now