Waziri Mkuu anasema wavu wa usalama wa umma utakuwa tayari kwa wakati, kuwasaidia Waaustralia watakao ondolewa kutoka Mpango wa Bima wa Kitaifa ya Ulemavu (NDIS) yenye thamani ya mabilioni ya dola.
Ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania imewasilishwa Alhamisi, katika mkutano uliohudhuriwa na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan.Miongoni mwa mambo makuu yaliyotangazwa na mkuu wa tume hiyo Jaji Mstaafu Mohammed Chande, ni kuwa idadi ya waliouawa wakati wa ghasia hizo ni 519, na waliojeruhiwa ni zaidi ya 2000.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





