Moussa Niakhate #19 of Senegal drives the ball forward during the 2026 FIFA World Cup Group I match between Senegal and Iraq at Toronto Stadium. on June 26, 2026 in Toronto, Canada. (Photo by Leonardo Ramirez/ Eyepix Group/Sipa USA) Source: SIPA USA / Leonardo Ramirez / Eyepix Group/Leonardo Ramirez / Eyepix Group/Sipa USA
Mashabiki wa timu za Afrika katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, walipata pigo kubwa katika siku ya 20 na 21 ya michuano hiyo.
Mchambuzi wa michezo Bw Frank Mtao, alifunguka kuhusu yaliyojiri katika siku ya 20 na 21 ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, pamoja nakupiga darubini kwa mechi zijazo.