Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari:Mweka Hazina asema bajeti ijayo ina malengo, akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Mweka Hazina wa taifa, Jim Chalmers, ameelezea bajeti inayokuja kama ile yenye malengo makubwa zaidi ya serikali ya Labor kufikia sasa, ikiwa na kile anachokiita akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida.

Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Mweka Hazina wa taifa, Jim Chalmers, ameelezea bajeti inayokuja kama ile yenye malengo makubwa zaidi ya serikali ya Labor kufikia sasa, ikiwa na kile anachokiita akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida.

Rais wa Ufaransa ameanza ziara muhimu nchini Kenya sambamba na kufunguliwa kwa mkutano mkubwa wa Afrika na Ufaransa unaowakutanisha zaidi ya viongozi 30 wa Afrika pamoja na wakuu wa makampuni makubwa ya kimataifa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now