Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari: Seneti ya DRC yafungua njia ya muhula wa tatu kwa Rais Tshisekedi

Bench - Swahili.jpg

Polisi wanachunguza ajali iliyotokea kusini-magharibi mwa Sydney usiku wakuamkia, ambayo imesababisha vifo vya watoto wawili wenye umri wa mwaka moja na miaka mitano.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Polisi wanachunguza ajali iliyotokea kusini-magharibi mwa Sydney usiku wakuamkia, ambayo imesababisha vifo vya watoto wawili wenye umri wa mwaka moja na miaka mitano.


Nyota wa Socceroos, Awer Mabil, anasema hashangai kwamba video inayoangazia utamaduni mbalimbali wa kikosi cha Kombe la Dunia imesambaa sana. Awer Mabil ni mmoja wao - na anasema timu hiyo ina motisha ya kuifanya Australia ijivunie.

Bunge la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limepitisha muswada unaoruhusu kufanyika kwa kura za maoni nchini humo, hatua inayoweza kufungua njia kwa Rais Felix Tshisekedi kubadili katiba na kuwania muhula wa tatu wa urais. Kwa mujibu wa katiba ya sasa, muhula wa pili na wa mwisho wa Tshisekedi unatarajiwa kumalizika mwaka 2028. Muswada huo sasa unasubiri kuidhinishwa na Mahakama ya Katiba kabla ya kupelekwa kwa rais kutiwa saini kuwa sheria.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now