Mamlaka katika jimbo la Kusini Australia, zimethibitisha kisa cha pili cha homa ya ndege aina ya H5 katika jimbo hilo.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Wanasayansi wanasema majaribio ya matibabu ya saratani ya Australia, hayakusanyi data ya kutosha ambayo madaktari wanahitaji ili kuwatibu wanawake salama.
Unyanyasaji wa kingono unaendelea kutumiwa kama silaha ya kivita, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa mujibu wa ripoti ya pamoja ya Umoja wa Mataifa ya Haki za binadamu.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






