Utafiti mpya unaonyesha kuwa watoto wa Australia wanaweza kuanza kuamua katika shule ya msingi kama watafuata taaluma za sayansi na teknolojia wanapokuwa wakubwa, huku wazazi wakiwa na ushawishi zaidi kuliko walimu katika maamuzi hayo.
Mdhibiti wa masoko na huduma za kifedha wa Australia anawaonya wawekezaji wafahamu ongezeko la ulaghai wa pampu na utupaji taka kwa kutumia uidhinishaji bandia wa watu mashuhuri na uigaji wa taasisi za fedha.
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu. Tundu Lissu alikamatwa kufuatia mkutano wa hadhara wa kisiasa huko Mbinga, Tanzania, ambapo alitoa wito wa kufanyika marekebisho makubwa ya uchaguzi na katiba.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.






