Taarifa za habari 17 Mei 2020

Bango la taarifa za habari za dunia la SBS

Bango la taarifa za habari za dunia la SBS Source: SBS

Mvutano wakibiashara kati ya Australia na China waendelea kutokota, bidhaa kadhaa za Australia zikipigwa marufuku China.


Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amewakosoa viongozi wa nchi hiyo wanaoshughulikia janga la virusi vya corona akisema janga hilo linaonesha maafisa wengi "hata hawajidai tu kuwa wanawajibika."

Mshukiwa wa mauaji ya halaiki nchini Rwanda, Felicien Kabuga, ambaye anashutumiwa kuwa mmoja wa wafadhili wakuu katika mauaji ya kiasi cha watu laki nane, alikamatwa Jumamosi karibu na mji mkuu wa Ufansa, Paris, baada ya kujificha kwa miaka 26, ilisema wizara ya sheria ya Ufaransa.

Kenya imefunga kwa muda wa siku 30 mipaka yake ya kimataifa kuenda Tanzania na Somalia kuanzia saa sita usiku wa Jumamosi 16 Mei 2020.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service