Taarifa za habari: Elimu ya wanafunzi yazua mvutano kati ya serikali ya shirikisho naya Victoria

States and territories are slowly staggering face to face lessons at school.

The priciest items are uniforms, often costing more than $200 for primary school students. Source: Getty Images

Waziri wa elimu wa shirikisho Dan Tehan, amemkosoa kiongozi wa Victoria Daniel Andrews mapema hii leo kuhusu kuwazuia wanafunzi kurejea shuleni kwa sababu ya coronavirus.


Chama cha upinzani cha shirikisho kimedokeza panastahili kuwa makato, kwa idadi ya wafanyakazi wakigeni wa muda wanao ruhusiwa kuja Australia.

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo Jumapili Mei 3 amesema atatuma ndege nchini Madagascar, kufuata dawa ya mitishamba ambayo rais wa nchi hiyo anadai kuwa inatibu corona.

Mahakama ya juu nchini Israel leo imeanza kusikiliza pingamizi juu ya iwapo waziri mkuu Benjamin Netanyahu anayekabiliwa na mashtaka ya rushwa anaweza kuruhusiwa kuunda serikali mpya.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service