Taarifa za habari:Maelfu yawa Australia kufanyiwa vipimo vya coronavirus

توسيع نطاق فحص فيروس كورونا لكن النتائج الخاطئة مازالت تحدث

توسيع نطاق فحص فيروس كورونا لكن النتائج الخاطئة مازالت تحدث Source: AAP

Maelfu yawa Australia watafanyiwa uchunguzi wa virusi vya coronavirus, baada ya serikali zamajimbo kupanua mfumo wao wa vipimo kwa ajili yakusitisha uambukizaji katika jamii pana.


Seneta wa jimbo la Vermont la Marekani, Bernie Sanders, Jumatatu alimuidhinisha aliyekuwa makam wa rais Joe Biden kuwa mgombea wa urais kwa chama cha Democratic.

Mamlaka za Afya nchini Tanzania zimetangaza wagonjwa wapya 17 wa virusi cya corona nchini humo. Wakati huo huo takriban wagonjwa 15 waliokuwa wakiugua virusi vya corona nchini Kenya wamepona katika kipindi cha saa 24 zilizopita, Waziri wa Afya wa nchi hiyo Mutahi Kagwe ametangaza.

Wazalishaji na washirika wa nchi zinazouza mafuta wakubaliana kufikia makubaliano na kupunguza uzalishaji kote duniani kwa takriban asilimia 10.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service