Taarifa za habari: Majimbo yafunga mipaka kukabiliana na usambaaji wa Covid-19

Queensland Premier Annastacia Palaszczuk.

Premier Annastacia Palaszczuk. Source: AAP

Serikali za Queensland, Victoria, Tasmania na Magharibi Australia zimetangaza zinafunga mipaka yake kukabili usambaaji wa virusi vya corona


Mawaziri wa fedha wa kundi la mataifa yenye nguvu kubwa ya kiuchumi duniani G20, leo wamekubaliana kuandaa mikakati ya pamoja ya kukabiliana na janga la virusi vya corona.

Watu wawili wapya wathibitishwa kuwa na virusi vya corona Tanzania. Katika wagonjwa waliopatikana ni mwanaume mtanzania mwenye umri wa miaka 40 aliyesafiri nchi za Uswisi, Denmark na Ufaransa kuanzia Machi 5 hadi 13 mwaka huu na kurejea nchini Machi 14.

Nakamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) inaangalia uwezekano wa kuahirisha michuano ya Tokyo 2020, na imejipa wiki nne kufanya maamuzi, na ligi kuu ya soka nchini Australia, ya ahirishwa sawia na ligi zingine za michezo nchini na duniani kote.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa za habari: Majimbo yafunga mipaka kukabiliana na usambaaji wa Covid-19 | SBS Swahili