Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa za habari: Meli ya Ruby Princess kufunguliwa uchunguzi wa jinai

The Ruby Princess at Circular Quay in Sydney.

The Ruby Princess at Circular Quay in Sydney. Source: AAP

Kamishna mkuu wa polisi wa NSW amesema, patakuwa uchunguzi wa jinai kwa meli ya Ruby Princess.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Kamishna mkuu wa polisi wa NSW amesema, patakuwa uchunguzi wa jinai kwa meli ya Ruby Princess.


Meli hiyo ilitia nanga katika bandari ya Sydney tarehe 19 Machi na, imekuwa kiini kikubwa cha maambukizi ya virusi vya korona pamoja na vifo nchini.

Jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC na Urusi wameahirisha mkutano uliokuwa ufanyike kesho Jumatatu kujadili kupunguza uzalishaji wa mafuta.

Rais wa Malawi na mawaziri wote nchini humo watakatwa asilimia kumi ya mishahara yao ya miezi mitatu ili kupata fedha za kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona. Na mishahara ya rais wa Kenya na naibu wake kukatwa kwa asilimia 20, kukabiliana na mlipuko wa corona nchini humo


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now