Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa za habari: Museveni adai "Itakua ni uendawazimu kuendesha uchaguzi wakati wa corona"

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni ahotubia taifa kuhusu COVID-19 Source: Yoweri Kaguta Museveni

Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg ajiandaa kutoa maelezo mapya kuhusu uchumi, katika siku ambayo alistahili tangaza bajeti yataifa.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg ajiandaa kutoa maelezo mapya kuhusu uchumi, katika siku ambayo alistahili tangaza bajeti yataifa.


Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona.

Maafisa katika jimbo lenye utajiri wa mafuta la Rivers nchini Nigeria wamevunja hoteli mbili kufuatia madai ya kukiuka sheria za kukaa nyumbani zilizowekwa kwa lengo la kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona.

Kufungwa kwa mpaka wa Tanzania na Zambia kumeongeza mjadala wa namna Tanzania inavyopambana na corona na athari kwa nchi zinazoizunguka.

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now