Kashfa ya hela za misaada za michezo, yamlazimisha Seneta Bridget McKenzie kujiuzulu kutoka wadhifa wa waziri wa kilimo na naibu kiongozi wa chama cha Nationals.
Kiongozi wa Qld Annastacia Palaszczuk amesema shule zote zitafunguliwa kuanzia kesho, baada yakupokea hakikisho kuwa wanafunzi wote ambao wamekuwa China bara, wata jitenga kwa wiki mbili zijazo.
Tanzania miongoni mwa nchi ambazo serikali ya Marekani imewekea katazo ka viza zakudumu, je raia wa Tanzania wata athirikaje kupitia katazo hilo la viza?
Share






