Taarifa za habari: Shule kuendelea kuwa wazi ila, sehemu za ibada na burudani kufungwa nchini

Makanisa yahamishia ibada mtandaoni

Makanisa yahamishia ibada, mtandaoni nchini Australia, kama sehemu yakukabiliana na virusi vya corona. Source: Lifehouse international church

Viongozi wa serikali za shirikisho, wilaya namajimbo wamepiga marufuku ya, safari zote ambazo si lazima ndani ya Australia, kwa ajili yakusitisha usambaaji wa virusi vya corona.


Takriban serikali zote za Afrika zimetangaza hatua kali za kupambana na janga hilo la afya ambalo halijawahi kushuhudiwa kote duniani, ambapo mataifa yamefunga mipaka yake, kuahirisha safari za ndege na kupitisha hatua kali za karantini.

Mfalme wa soukouss, Aurlus Mabelé , mwanamziki wa kongo brazaville amefariki baada ya kuambukizwa na virusi vya korona mjini Paris, nchini ufaransa siku ya Alhamisi Machi 19, 2020.

Na ligi kuu za soka na raga nchini Australia, zashuhudia mechi bila mashabiki uwanjani, wakati viongozi wa mchezo wa AFL, waamua kuahirisha msimo mpya hadi Mei 31.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service