Katika tukio jipya, waziri wa zamani wa rasilimali Matt Canavan, amewakosoa washiriki wake wanao pinga mgodi mpya wa makaa ya mawe jimboni Queensland.
Raia wa Kenya pamoja na wageni waalikwa wame jumuika katika uwanja wakitaifa wa Nyayo mjini Nairobi, kushiriki katika ibada yakumuaga aliyekuwa rais wa pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi.
Idadi ya wanajeshi wa Marekani wanaougua majeraha ya ubongo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi moja nchini Iraq mwezi Januari imefikia 109, kulingana na maafisa wa Marekani.