Waziri mkuu Scott Morrison amewahamasisha wa Australia, waendelee kuwa watulivu wakati mlipuko wa coronavirus unaendelea.
Hofu ya virusi hivyo vimesababisha maduka mengi kusalia bila bidhaa ambazo wateja wanahitaji, kwa sababu wateja wenza wamevinunua kwa wingi.
Biden, Sanders tayari kupambana katika uchaguzi wa 'Super Tuesday' wakupata mgombea wa chama cha Democrats katika uchaguzi wa rais Marekani
Raia wanne wa kigeni waliowasili nchini Uganda na dalili za virusi vya corona wametengwa katika hospitali ya Entebbe, Waziri wa afya amethibitisha.
Share






