Virusi vya coronavirus vya dai mtu wa tatu nchini Australia, waziri wa afya wa shirikisho Greg Hunt amesema kifo cha mkazi wa hifadhi yawazee kupitia virusi vya coronavirus, ni hasara kubwa kwa jamii.
Serikali ya shirikisho ya Australia itawekeza dola milioni 20, kwa mradi wa mikopo isiyokuwa na riba, kama sehemu yakuwasaidia wanawake wanaokabiliana na vurugu ya nyumbani kununua bidhaa vya msingi kwa ajili yakujiendeleza.
Benki ya dunia imeishinikiza serikali ya Tanzania kuanzisha mfumo wa elimu kwa wananfunzi wanaokatiza masomo yao kutokana na sababau kama vile uja uzito.