Taariza za habari: Waumini washiriki katika ibada za pasaka mtandaoni

Ibada ya pasaka mtandaoni

Ibada ya pasaka mtandaoni Source: Supplied

Serikali ya shirikisho imetangaza hatua ambayo itasaidia vyuo na TAFE kutoa, mafunzo ya muda mfupi kwa gharama ndogo kuanzia mwezi ujao.


Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amelazimika kuvunja mila ya karne kadhaa ya ibada ya Jumapili ya Pasaka kwa kuiendesha misa hiyo kwa njia ya mtandao badala ya kukaa na waumini kutokana na khofu ya kirusi cha corona.

Kumekua na kile kinachoonekana kama hatua inayotia moyo katika juhudi za kukabiliana na janga la virusi vya corona hususan vita dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo katika mataifa ya Afrika Mashariki ya Kenya na Rwanda.

Rais wa Marekani Donald Trump anasema uamuzi wa kuruhusu shughuli kuendelea nchini kama kawaida, “ ndio uamuzi mkubwa ambao sijawahi kukabiliwa nao.”


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service