Ni zaidi ya mwaka mzima sasa tokea vurugu na ghasia zinazoisibu Burundi kuanza. Hali hiyo ime acha familia nyingi katika athari kubwa mno. Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa, idadi ya watu isio pungua 470 wameuawa kutokana na machafuko hayo.
Machafuko hayo yame wafanya kinamama na watoto kuwa wajane na mayatima, naku waacha wengi wao katika mazingira magumu.
Muandishi wa SBS Swahili mjini Bujumbura, alitembelea moja ya familia husika naku andaa taarifa ifuatayo.
Share





