Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amewasilisha kile anacho ita timu yamawaziri yenye nishati mpya. Bw Turnbull amesema ame chagua mawaziri kulingana na mtazamo wa siku za usoni kwa sera zitakazo kuza ubunifu, viwanda pamoja naku hakikisha mafanikio ya uchumi wa Australia katika karne ya 21.
Share






