Bofya hapo chini utazame mahojiano tuliyo fanya na Bw Chris ambaye aliongoza shughuli za uchaguzi mkuu uliopita nchini Kenya.
Bofya hapo chini utazame sehemu ya pili ya mazungumzo tuliyo fanya na Bw Chris. Samahani kwa kelele kwenye video, tulikabiliwa na hitilafu za mitambo.




