Wiki hii mjini Canberra 13 Aprili2018

Kikao cha bunge la taifa mjini Canberra Canberra

Kikao cha bunge la taifa mjini Canberra Source: AAP

Wiki hii matokeo yaliyo hofiwa ya 30 ya kura ya maoni ya Newspoll, yali tawala vyombo vya habari mjini Canberra wiki nzima.


Ni taarifa iliyo karibisha wiki na bila shaka ili endelea kuwa taarifa iliyo jadiliwa wiki ilipo kamilika.

Na licha yakumuunga mkono waziri mkuu wiki hii bila masharti, mweka hazina wa taifa, waziri wa nishati na waziri wa maswala ya nyumbani, wote wali kiri wana nia yaku rithi wadhifa huo.

Kila mmoja wao alikiri kuwa, iwapo fursa hiyo ita tokea, bila shaka wangependa kuwa waziri mkuu katika siku za usoni.

Kauli hiyo haishangazi kutoka kwa mwanasiasa, ila pia haifai, unapozingatia mvutano unao endelea ndani ya serikali ya mseto.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service