Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Muda waku pokea chanjo dhidi ya mafua ume wadia

William Brawlye CC 2.0
William Brawlye CC 2.0 Source: William Brawlye CC 2.0

Msimu wa tatu wa mwaka ume anza nchini Australia, na msimu wa baridi unapo anza, miradi ya chanjo dhidi ya mafua nayo hufuata.


Published

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Msimu wa tatu wa mwaka ume anza nchini Australia, na msimu wa baridi unapo anza, miradi ya chanjo dhidi ya mafua nayo hufuata.


Bila shaka wengi wetu tuna pokea ama tuna fikiria kupokea chanjo dhidi ya mafua. Ripoti ya utafiti kwa visa vya mafua nchini Australia, ina onesha kume kuwa mwongezeko wa asilimia 4 ya idadi ya watu walio chanjwa mwaka jana. Licha yakuwa chanjo za mafua zina pendekezwa kwa kila mtu mwenye umri zaidi ya miezi sita, kuna maswala kadhaa mtu anapashwa zingatia.

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now