Msanii maarufu kutoka Kenya Timmy TDAT, amefunguka kuhusu changamoto na mafanikio yake katika mziki.
Timmy TDAT atafanya ziara yake ya kwanza nchini Australia, ambako wapenzi wa mziki wake watajumuika katika ukumbi wa Himalayan Emporium mjini Bankstown, NSW kwa tamasha ambayo msanii amesema itakuwa "burudani ya hatari ya decade".
Unaweza pata tiketiz za tamasha hiyo kwenye tovuti hii: www.eventbrite.com.au
Share





