Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia, na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri. Kwa hivyo unaweza fanya nini kupunguza gharama zako za mafuta bila kuacha utaratibu wako wa kila siku? Hapa kuna njia rahisi na za vitendo za kuokoa pesa kwa petroli.
Share






