Je Hillary Clinton atafanikiwa kupunguza kasi ya Donald Trump masaa machache kabla ya kura kuanza kupigwa au la?
SBS Swahili ilizungumza na mtangazaji wa shirika la habari la Sauti ya Marekani Bw Abdushakur Aboud, ambaye alifafanua mengi zaidi kuhusu utaratibu wa uchaguzi wa urais wa Marekani.
Share





