Tshaka Tshaks aweka wazi masaibu yauchekeshaji wakati huu wa janga la COVID-19

Mchekeshaji Tshaka Tshaks jukwaani

Mchekeshaji Tshaka Tshaks jukwaani Source: Tshaka Tshaks

Janga la coronavirus lime tikisa pakubwa kazi za wachekeshaji duniani kote.


Tshaka Tshaks ni mchekeshaji nchini Australia ambaye ana asili ya Kenya.

Alipozungumza na Idhaa ya Kiswahili ya SBS Bw Tshaks, aliweka wazi jinsi Coronavirus imeathiri kazi yake kama mchekeshaji, aliweka wazi pia hatua ambazo amechukua kujinusuru toka janga hilo.

Bofya hapo juu kwa makala kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Tshaka Tshaks aweka wazi masaibu yauchekeshaji wakati huu wa janga la COVID-19 | SBS Swahili