Hoja kubwa ni kama tume yakifalme ya uchunguzi kwa janga la moto wa vichaka inastahili anzishwa.
Tume yakifalme kwa moto wa vichaka, yazua hisia mseto ndani ya muungano wa wazima moto nchini

Firefighters battle bushfires in northern NSW. There's fears ash from the fires will contaminate drinking water. Source: AAP
Utofauti wa maoni umeibuka, kati ya vyama vinavyo wakilisha wataalam wa uzimamoto nchini Australia.
Share