Waziri Mkuu Malcolm Turnbull na Rais wa Marekani Barack Obama wame fanya mkutano kwa takriban saa nzima siku ya mwisho ya mkutano wa ushirikiano wa uchumi wa mataifa ya bara Asia na Pacific nchini Peru.
Hiyo ilikuwa mara ya mwisho kwa viongozi hao wawili, kufanya mkutano rasmi kabla ya Donald Trump kuapishwa nakuwa rais wa Marekani rasmi.
Share





