Maeneo kadhaa ya jimbo la New South Wales yanakabiliana na janga la moto wa vichaka.
Moshi wa moto huo umesambaa katika vitongoji kadhaa vya mji wa Sydney, ambako baadhi ya wakazi wame eleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu changamoto ambazo zimesababishwa na moshi huo.
Share





