SKIP TO MAIN CONTENT

Umepata faini? Hivi ndivyo unastahili fanya kuilipa na kuepuka madhara makubwa yakutofuata sheria

parking fines.
Source: SBS

Watu wengi nchini Australia hawa elewi madhara yakupuuza faini ni gani.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Watu wengi nchini Australia hawa elewi madhara yakupuuza faini ni gani.


Kutoka kwa ongezeko ya faini, hadi kuzuiwa kwa muda kwa matumizi ya leseni yako yakuendesha gari, au hata mali yako binafsi kuchukuliwa matokeo yanawezakuwa makubwa.

Ukichukua hatua haraka nakuomba msaada kama una uhitaji, hatua hiyo inaweza kuokoa dhidi ya matatizo na gharama.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now