Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Umuhimu wa Melbourne Cup ni nini?

Melbourne Cup

Farasi washiriki katika mashindano ya Melbourne Cup Source: AAP

Melbourne Cup ni moja ya shindano maarufu la farasi nchini Australia.


Published

Updated

By Melissa Compagnoni

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Melbourne Cup ni moja ya shindano maarufu la farasi nchini Australia.


Kwa zaidi ya miaka 160, shindano hilo limevutia umati mkubwa wa watu wanao sherehekea farasi bora zaidi duniani pamoja na wanao ziendesha.

Ila, shindano hilo lime zua maswali pia kuhusu maadili ya sekta ya mashindano ya farasi, ustawi wa wanyama pamoja na kamari.

Jumanne ya kwanza ya Novemba, karibu shughuli zote nchini Australia husimama kwa muda kwa ajili yakutazama shindano la farasi. Shindano hilo lina fahamika kama 'shindano linalo simamisha taifa’.

Melbourne Cup ni kilele cha kalenda yamashindano na moja yamashindano yenye fahari zaidi duniani.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now