Unakabiliana na changamoto gani, kufanyia kazi au kusomea nyumbani?

Wanafunzi watumia teknolojia kufanyia masomo nyumbani

Wanafunzi watumia teknolojia kufanyia masomo nyumbani Source: Getty Images

Wafanyakazi wengi na wanafunzi wame amua kufanyia shughuli zao nyumbani kama sehemu yakupunguza maambukizi ya virusi vya corona.


Bw Jay ni mmoja wa wazazi nchini, ambaye aliamua kuwaandalia wanawe nafasi yakusomea nyumbani, baada ya ongezeko ya visa vya uambukizaji wa virusi vya corona jimboni NSW.

Binti wake wawili, wamechangia na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, uzoefu wao wakusomea nyumbani wakiulinganisha nakusomea shuleni.

Je nivitu gani ambavyo unahitaji kuweka tayari kuhakikisha, shughuli zako zakikazi au masomo zina fanyika bila matatizo yoyote? Changia jibu na maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook/SBS Swahili

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service