Victoria yaibuka kutoka vizuizi vya coronavirus

Kiongozi wa Victoria Daniel Andrews azungumza na waandishi wa habari

Kiongozi wa Victoria, Daniel Andrews azungumza na waandishi wa habari Source: AAP Image/Erik Anderson

Vizuizi vya COVID-19 jijini Melbourne vina ondolewa.


Kiongozi wa jimbo hilo Daniel Andrews alitangaza kuwa vizuizi vingi vita ondolewa, baada ya jimbo la Victoria kutorekodi visa vyovyote vipya pamoja nakuto kuwa na vifo.

App ya serikali ya shirikisho ya ufuatiliaji ya coronavirus, imesaidia kupata visa 17 tu ambavyo havijatambuliwa katika miezi sita, visa hivyo vyote vilikuwa jimboni New South Wales. App hiyo ya COVIDSafe yenye gharama ya milioni mbili, imekosolewa vikali kwakuto tambua visa vingi zaidi.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Victoria yaibuka kutoka vizuizi vya coronavirus | SBS Swahili