Vijana wakabiliwa kwa wimbi lamadeni

Debt Collection

Source: AAP

Utafiti mpya kwa tabia zawatumiaji pamoja na mitazamo wakati wakilele cha janga la coronavirus, imeonesha takwimu zakutisha zinazo wazingira vijana wanao kabiliwa na wimbi la deni.


Utafiti wa kituo cha watumiaji sera na utafiti, unaonesha kati ya mwezi Mei na Julai, vijana nchini Australia wanategemea zaidi mikopo au kukopa hela kutoka kwa wengine.

Iwapo unakabiliwa kwa matatizo yakifedha, tembelea tovuti hii: www.moneysmart.gov.au au pigia simu shirika lakitaifa linalo toa msaada wa deni: 1800 007 007.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service