Virusi vya Corona vina maana gani kwa wamiliki wa viza nchini?

Mhuri kwenye viza ndani ya pasi

Mhuri kwenye viza ndani ya pasi Source: AAP

Kuna vitengo 120 vya viza nchini Australia.


Mamilioni ya watu ambao wana viza wan wasiwasi au, wamechanganyikiwa kuhusu hatma yao.

Baadhi ya watu hao wanajumuisha watu ambao wako nchini kwa viza ya likizo, wanafunzi, familia na wachumba, wafanyakazi na viza za ujuzi, wakimbinzi, watu wenye viza zamuda mfupi na watu ambao viza zao zilifutwa, pamoja na watu wengi zaidi nahata viza za raia wa New Zealand.

Shirika la habari la SBS linakupa ushauri mpya, pamoja na msaada unao tolewa kwa watu ambao wana viza nchini.

Kama unaviza ya muda mfupi, ya aina yoyote, tembelea tovuti ya www.servicesaustralia.gov.au na ufuate hatua za malipo ya watu wenye viza.

Na unaweza pokea taarifa mpya kuhusu virusi vya korona katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service