Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Virusi vya corona vya lazimisha kuahirishwa kwa michezo ya Olimpiki

bango la michezo ya olimpiki

bango la michezo ya olimpiki Source: IOC

Misimu ya AFL, NRL, Cricket na A-League yote imeahirishwa nchini Australia.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano, Frank Mtao

Source: SBS



Share this with family and friends


Misimu ya AFL, NRL, Cricket na A-League yote imeahirishwa nchini Australia.


Kuahirishwa kwa misimu hiyo, nikatika sehemu ya juhudi zakudhibiti usambaaji wa virusi vya corona nchini Australia.

Hata hivyo viongozi wa michezo ya Olimpiki, ambao wamekuwa wakijivuta kutoa maamuzi iwapo michezo hiyo mjini Tokyo, Japan ita ahirishwa au la wamejipata mahali pagumu.

Frank Mtao ndiye mkuu wa idara ya michezo katika Idhaa ya Kiswahili, alifafanua maswala haya yakuahirishwa kwa misimu ya michezo katika makala haya.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now