Viva: Je! Ninapaswa kuwakopesha watoto wangu pesa?

Baba na mama wazungumza na binti yao

Baba na mama wazungumza na binti yao Source: Getty Images

Je! Unapaswa kukopesha pesa watoto wako watu wazima au la? Jibu mara nyingi huwa moja kwa moja kwa wazazi ambao wametumia maisha yao yote kuwapenda na kuwatunza watoto wao.


Wataalam, wanahimiza kuchukua hatua za kulinda mustakabali wako wakifedha, kabla ya kuchimbua akiba yako ya kustaafu.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Viva: Je! Ninapaswa kuwakopesha watoto wangu pesa? | SBS Swahili