VIVA: Jinsi yakutumia huduma ya matibabu kwa njia ya mtandao almaarufu telehealth

Getty Images

Source: Getty Images

Waaustralia wanazidi kutegemea zaidi huduma ya matibabu kwa njia ya simu maarufu kama telehealth wakati wa janga hili la virusi vya corona.


Takwimu kutoka Huduma za Australia zinaonyesha kuwa jumla ya huduma za ushauri wa madakatri za telehealth ziliongezeka kutoka milioni 1.3 mnamo Machi hadi milioni 5.8 mwezi Aprili. Unaweza kutumia vizuri zaidi huduma hiyo ya telehealth kwa maandalizi kadhaa rahisi.

Watu nchini Australia lazima wakae umbali wa mita 1.5 kutoka kwa wengine. Angalia masharti ya serikali yako kwenye vikwazo vya mikusanyiko.

Ikiwa unaamini unaweza kuwa umeambukizwa virusi, piga simu kwa daktari wako (usitembele) au wasiliana na Simu ya kitaifa ya Taarifa za Afya ya Virusi vya Corona kupitia namba 1800 020 080.

Kwa usaidizi wa bure wa kibinafsi wa karibu kwa saa 24/7 kwa simu, piga simu Lifeline kwa namba 13 11 14 au Beyond Blue kwa namba 1300 22 4636. Ikiwa unahitaji mkalimani, piga Huduma ya kitaifa ya Kutafsiri na Ukalimani namba 131 450 na uliza kuunganishwa na huduma uliyopendelea.

Ikiwa unahangaika kupumua au unahitaji huduma ya dharura ya matibabu, piga simu 000.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service