Kuna manufaa mengi kiafya unapo tembea.
Na, unapotembea na watu wengine kuna kuwa na ongezeko ya furaha nakupata marafiki.
Je umewahi fikiria kujiunga nakundi kwa uzoefu tofauti?
Tafadhali pokea ushauri kutoka kwa mtaalam wako wa afya, kabla yakuanza kufanya mazoezi.
Share





