Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

VIVA: Sheria ambazo hajiza andikwa zakuwa bibi au babu

Bibi acheza na wajukuu wake

Bibi acheza na wajukuu wake Source: Getty Images

Published

Updated

By Amy Chien Yu-Wang

Presented by SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Kwa wale ambao wame jifunza kuwa wazazi kwa miaka mingi, hatua yakuwa bibi au babu inahitaji sheria tofauti, na mara nyingi uwezo waku fanya mageuzi hali ya familia inapo badilika.

Nimuhimu kuelewa sheria hizi ambazo hazija andikwa kwa ajili yaku hakikisha una furahia kwa ukamilifu mchakato wakuwa bibi au babu, pamoja naku dhibiti maisha vizazi tofauti pamoja na furaha yao.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now