Mteja agiza kinywaji katika mgahawa, ambao ni moja ya biashara zilizo athirika kwakufungwa kukabiliana na virusi vya corona Source: AAPVizuizi vipya vyakupunguza usambaaji wa virusi vya corona, vilianza kutekelezwa kuanzia jumatatu tarehe 23 Machi .
Published
Updated
By Naveen Razik
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Vizuizi vipya vyakupunguza usambaaji wa virusi vya corona, vilianza kutekelezwa kuanzia jumatatu tarehe 23 Machi .
Hatua hizo zita sababisha baadhi ya biashara kufungwa, baadhi ya biashara hizo zikijumuisha migahawa, baa na vyumba vyakufanyia mazoezi.
Ila huduma muhimu kama masoko namabenki yata endelea kuwa wazi.