Vizuizi vya COVID-19 vinabadili majukumu ndani ya familia?

Baba afanya mazoezi pamoja na mwanawe mjini Melbourne

Baba afanya mazoezi pamoja na mwanawe mjini Melbourne Source: AAP

Jukumu la baba katika maisha ya familia inapitia mageuzi, wengi wao kwa sasa wakifanyia kazi nyumbani wakati wa vizuizi vya coronavirus.


Kupitia vizuizi hivi, baba wengi wamegundua kuwa wanaweza tumia wakati mwingi zaidi kuwahudumia nakuwalea watoto wao.

Unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Vizuizi vya COVID-19 vinabadili majukumu ndani ya familia? | SBS Swahili